1 Samueli 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Huwainua maskini toka mavumbini;huwanyanyua wahitaji toka majivuni,akawaketisha pamoja na wakuu,na kuwarithisha viti vya heshima.Maana, minara ya dunia ni ya Mwenyezi-Mungu;yeye ameisimika dunia juu ya minara yake.

1 Samueli 2

1 Samueli 2:1-9