1 Samueli 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Maadui wa Mwenyezi-Mungu watavunjwa vipandevipande;atanguruma dhidi yao kama radi mbinguni.Mwenyezi-Mungu ataihukumu dunia yote;atampa nguvu mfalme wakeataukuza uwezo wa mteule wake.”

1 Samueli 2

1 Samueli 2:7-12