1 Samueli 14:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Shauli akawaambia watu waliokuwa pamoja naye, “Hebu jihesabuni ili kujua ni akina nani waliotutoroka.” Walipojihesabu, waligundua kuwa Yonathani na kijana aliyembebea silaha walikuwa hawapo.

1 Samueli 14

1 Samueli 14:7-20