1 Samueli 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Waisraeli wote waliposikia kuwa Shauli alikuwa ameishinda ngome ya kijeshi ya Wafilisti, na kwamba Wafilisti wanawachukia sana Waisraeli, waliitwa kwenda kuungana na Shauli huko Gilgali.

1 Samueli 13

1 Samueli 13:2-10