1 Samueli 13:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)

22. Kwa hiyo siku ya vita hakuna mtu miongoni mwa wote waliokuwa pamoja na Shauli na Yonathani aliyekuwa na upanga au mkuki isipokuwa Shauli na Yonathani mwanawe.

23. Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi.

1 Samueli 13