1 Samueli 10:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Baba mdogo wa Shauli alipowaona Shauli na mtumishi, akawauliza, “Mlikuwa wapi?” Shauli akajibu, “Tulikwenda kuwatafuta punda, na tulipoona hawapatikani, tulikwenda kumwona Samueli.”

1 Samueli 10

1 Samueli 10:5-20