1 Petro 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu Baba aliwateua nyinyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na Roho, mpate kumtii Yesu Kristo na kusafishwa kwa damu yake.Nawatakieni neema na amani tele.

1 Petro 1

1 Petro 1:1-6