19. Yakimu, Zikri, Zabdi,
20. Elienai, Zilethai, Elieli,
21. Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wazawa wa Shimei.
22. Ishpani, Eberi, Elieli,
23. Abdoni, Zikri, Hanani,
24. Hanania, Elamu, Anthothiya,
25. Ifdeya na Penueli walikuwa wazawa wa Shashaki.
26. Shamsherai, Sheharia, Athalia,
27. Yaareshia, Elia na Zikri walikuwa baadhi ya wazawa wa Yerohamu.