1 Mambo Ya Nyakati 6:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Na hawa ndio wazawa wa Merari kutoka kizazi hadi kizazi: Merari alimzaa Mali, Mali akamzaa Libni, Libni akamzaa Shimei, Shimei akamzaa Uza,

1 Mambo Ya Nyakati 6

1 Mambo Ya Nyakati 6:21-33