1 Mambo Ya Nyakati 28:17 Biblia Habari Njema (BHN)

pia alitoa maagizo kuhusu kiasi cha dhahabu safi iliyohitajika kutengenezea nyuma, mabirika na vikombe, pia kiasi cha dhahabu na fedha iliyohitajika kutengenezea mabakuli ya dhahabu na ya fedha,

1 Mambo Ya Nyakati 28

1 Mambo Ya Nyakati 28:10-21