1 Mambo Ya Nyakati 1:1-6 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Adamu alimzaa Sethi, Sethi akamzaa Enoshi, Enoshi akamzaa Kenani,

2. Kenani akamzaa Mahalaleli, Mahalaleli akamzaa Yaredi,

3. Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa Lameki,

4. Lameki akamzaa Noa. Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi.

5. Wana wa Yafethi walikuwa Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.

6. Wana wa Gomeri walikuwa Ashkenazi, Difathi na Togama.

1 Mambo Ya Nyakati 1